Wauzaji Wa Jumla Wa Asali Ya Tanzania Waendelea Kuitangaza Asali Ya Tanzania Kimataifa

News

Miongonimwawazalishajiwakubwawa ASALI KUTOKA TANZANIA naMuuzajiwajumlawa Asali kwenyemasokoyakimataifaMr.Musiba Paul Kitemaambae pia nimkurugenziwakampuniya JAMBO ASALI,ameishukuruserikalikwakuwafunguliamilangoyabiasharakwenyesektayaufugajiwaNyukinchini, P.K.Musibanimmojawawafanyabiasharawaasaliambaowanaendeleakuitangazaasaliya Tanzania katikamasokoyakimataifa. Ata hivyo Asali ya Tanzania imeendeleakuwaasali bora zaidikulikoasalikutokanchinyinginekutokananaupekeewaasalihiyo.

Watejawengikatikamasokoyakimataifawamevutiwanauborawaasaliya Tanzania kutokananasababumbalimbalikama vile;

  1. Ufugajiwanyukikatikamisituyaasiliambayoimehifadhiwa
  2. Usafiwaasaliya Tanzania
  3. Utamuwaasaliya Tanzania wenyeradhayaasilinasababunyinginenyingi

Serikaliya Tanzania pia imeendeleakusainimikatabayakuingizaasalikatikanchimbalimbaliikiwemo Uchina ambapo kuna sokokubwa la asalikutoka Tanzania. Watanzaniawanashariwa pia kuchangamkiafursa za uzalishajiwaasalikwakufuganyukikwawingikatikamaeneombalimbaliambayoni rafiki kwaufugajiwanyuki. Masokoyaasaliyaponanimasokomakubwa .

Uzalishajiwaasalinchini Tanzania badohauwezikukidhimahitajiyasoko, Pamoja najitihada za serikali, sektabinafsizinashauriwa pia kuongezauwekezajikatikaufugajiwanyukikwaninieneosalama la uwekezajikutokananaongezekokubwa la mahitajiya ASALI YA TANZANIA kwenyemasokoyakimataifa.

Haya yamesemwanaMkurugenziwa JAMBO ASALI Mr.Musiba Paul Kitemaakiongeanawaandishiwa Habari Mkoani Dodoma.

Share This :