Ukifikiria kuhusu sehemu sahihi ya ni wapi unaweza kununua asali nzuri yenye radha ya asili, ni
lazima ufikirie kuhusu JAMBO ASALI HONEY, ASALI YA JAMBO ni asili kutoka Tanzania
inayo zalishwa katika misitu ya asili ya Tanzania Africa Ya mashariki.Tanzania ni nchi ya pili
Africa kwa uzalishaji wa asali ambapo kwa mwaka inazalisha takribani 34,000 metric tons za
asali. Kutoka na upekee na uzuri wa asali ya Tanzania, JAMBO ASALI ni asali inayo ongoza kwa
kupendwa na walaji wengi kutoka nchi mbalimbali duniani, nah ii ni kutokana na sababu
mbalimbali kama vile;
- Jambo asali ina mfumo wa ufutiliaji (Traceability system)
- Jambo asali inazingatia usalama wa chakula
- Jambo asali inazingatia usitawi wa mazingira
- Jambo asali inauzwa kwa bei nzuri na rafiki kwa kila mtu (affordability)
- Jambo asali inazalishwa na wakulima wa vijijini ambao wamepewa mafunzo maalumu
ya uzalishaji wa asali unao zingatia ubora na usalama wa chakula

Pamoja na sababu hizo, JAMBO ASALI imeendelea kuwa namba moja kwa ubora katika
asali zote zinazo zalishwa Tanzania. Hivyo basi unapo hitaji kununua asali swali la kwanza
la kujiuliza ni wapi unaweza kununua Asali? Swali hili linajibiwa na JAMBO
ASALI,jambo asali ni sehemu sahihi ya kununua asali kwa Tanzania.
Mafanikio ya jambo asali, asali nzuri ya Tanzania
JAMBO ASALI pia inajivunia kushiriki kwenye masoko ya kimataifa kama vile Dubai, Asia, na nchi mbalimbali barani Ulaya. Hii ni ishara kwamba ubora wa asali yetu umeidhinishwa na mashirika na wateja wa kimataifa. Wateja wengi wa nje huchagua Jambo Asali kwa sababu ya ladha yake ya kipekee ya Miombo Honey, inayopatikana tu kwenye misitu ya asili ya Tanzania.
Mbali na kuuza asali, Jambo Asali ina mchango mkubwa katika maendeleo ya jamii. Wakulima wadogo wa vijijini wanapatiwa elimu ya ufugaji nyuki wa kisasa, vifaa vya kufugia, na masoko ya uhakika. Hii inawawezesha kupata kipato cha uhakika, kupunguza umaskini, na kulinda mazingira kwa njia endelevu.
Kwa wapenzi wa bidhaa asilia na salama kiafya, Jambo Asali ni chaguo bora kwa sababu haina kemikali wala uchakachuaji. Asali yetu inavunwa na kuchakatwa kwa kufuata viwango vya kimataifa vya ubora, kuhakikisha inabaki na virutubisho vyote vya asili vinavyonufaisha afya. Hii inafanya Jambo Asali isiwe tu kitoweo cha ladha, bali pia tiba ya asili kwa magonjwa mbalimbali.

