JAMBO ASALI KUTOKA TANZANIA YAENDELEA KUUZWA NDANI NA NJE YA MIPAKA YA TANZANIA

News

JAMBO ASALI KUTOKA TANZANIA YAENDELEA KUUZWA NDANI NA NJE YA MIPAKA YA TANZANIA

Asali ya Tanzania inayozalishwanakampuniya JAMBO ASALI yenyemakaomakuuyake Dar es salaam,imeendeleakuuzwandaninanjeya Tanzania ambapoWatanzanianawatumbalimbalikutokamataifa yan je yamependaradhanauborawaasalihiiya JAMBO ASALI.

Ata hivyomafanikiohayonikutokananakampuniya JAMBO ASALI kuingiamakubalianonakiwanda cha uchakatajiwamazaoyanyukikilichoko KIBONDO KIGOMA, kiwandahikichenyeuborawakimataifakinatumikakatikauchakatajiwa MAZAO YA NYUKI ambayokampuniya JAMBO ASALI wanazalishanakufikishakwenyemasokoyakeyandaninanjeya nchi.

Serikaliimekuwamsitariwambelekuhakikisha ASALI YA TANZANIA inakidhiviwangonavigezovyakimataifailikuwezakushindananaasalizinazozalishwakutokakatikamataifamengine barani Africa.

Ata hivyo Tanzania imeendeleakufanyavizurizaidikwenyemasokoyaasaliyakimataifakutokananauzurinauborawa Asali inayozalishwakutokakatikamisituya Tanzania inayosimamiwanawakalawamisitu Tanzania yaaniTFS  (Tanzania Forest Services Agency )

Watumiaji wa asali kutoka nchini Tanzania wameupongeza uongozi wa JAMBO ASALI katika kusimamia ubora na kuhakikisha JAMBO ASALI inaendelea kuwa ASALI BORA kwa Tanzania. Akizungumza mmoja wa wateja wa JAMBO ASALI, Ndugu Japheti Patirc kutoka Dar es salaam, amesema ASALI YA JAMBO (JAMBO ASALI) ni asali yenye ubora wa hali ya juu ambayo yeye binafsi kila mwezi anatumia zaidi ya kilo tatu yeye na familia yake, ‘’mimi kila siku natumia asali ya JAMBO Pamoja na familia yangu, tunatumia ASALI YA JAMBO kwenye chai na pia kulia mkate kama breakfast, Watoto wangu wanaipenda sana Asali ya JAMBO, ikikosekana ndani Watoto wananikumbusha hivyo kila mwezi nalazimika kununua sio chiniya kilo tatu kwa ajili ya matumizi yetu yakila siku.’’

Samwel Musika

Jambo Asali Media

Share This :